Swali: Pindi mtu anapokufa kwetu basi anajiwa na watu kutoka mbali kutupa pole. Je, inajuzu kwetu kuwatengenezea chakula? Tusipofanya hivo wanasema kuwa sisi ni mabakhili.

Jibu: Haijuzu kusafiri kwa ajili ya kutoa pole. Leo mambo yamekuwa rahisi. Leo mtu anaweza kutoa pole kwa simu na njia za mawasiliano nyenginezo. Hakuna haja ya kusafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017