Kurudisha nguo za sherehe baada ya sherehe

Swali: Baadhi ya wanawake wanaenda katika maduka ya mavazi na kununua mavazi ya sherehe. Baada ya sherehe wanayaosha na kuyarudisha dukani kama kwamba hayakuoshwa. Je, inajuzu?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi isipokuwa ikiwa mmliki wa duka anaruhusu kufanya hivo. Ikiwa mmliki wa duka anaruhusu kufanya hivo ni sawa. Vinginevyo haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 25/06/2018