Kurudisha dhahabu kwa muuza dhahabu


Swali: Ni ipi hukumu ya kununua dhahabu kutoka kwa muuza dhahabu kisha kuibakiza kwake na asiichukue?

Jibu: Akiichukua kisha akairudisha kwake, hakuna neno. Ni lazima aichukue kwanza. Baadaye ndio airudishe kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 02/07/2018