Kurudilia adhaana baada ya swalah

Swali: Mimi ambaye niko ar-Riyaadh wakati mwingine nasikia adhaana ya moja kwa moja kutoka Haram. Haya yanapitika baada ya kumaliza kuswali. Je, niirudilie adhaana hiyo na ninalipwa thawabu kwa hilo?

Jibu: Ndio. Unamtaja Allaah (´Azza wa Jall). Unatakiwa kumrudilia ukimsikia hata kama umeshaswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 08/01/2017