Swali: Nimefanya Hijrah kutoka Ufaransa na kwenda Makkah. Mamangu na ndugu zangu wamebaki huko. Mamangu ananiomba kila wakati kuwatembelea. Asli yetu ni kutoka Marocco. Je, inajuzu kwangu kusafiri kuwaendea ili kuunga kizazi au tukutane nchi yetu Marocco, jambo ambalo wanaliweza?

Jibu: Safiri uwaendee kuwatembelea na kuunga kizazi. Hakuna neno. Baadaye urejee.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017