Kupigana katika miezi mitukufu

Swali: Makatazo ya kupigana katika miezi mitukufu bado ni yenye kuendelea?

Jibu: Kupigana katika miezi mitukufu ni jambo lina tofauti kwa wanachuoni. Kuna wanachuoni waliosema kwamba bado yanaendelea. Hata hivyo wanachuoni wengi wanasema kuwa imefutwa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (02) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/429/429.mp3
  • Imechapishwa: 01/03/2018