Kupetuka Juu Ya Chumba Cha Mtume


Swali: Mtunzi wa “ar-Rawdhw al-Murbi´” amemnukuu Ibn ´Aqiyl ambaye amesema kuwa chumba cha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni bora kuliko Ka´bah, Pepo, ´Arshi na wenye kuibeba…

Jibu: Huku ni kupetuka mipaka. Huku ni kupetuka mipaka na hayatakiwi kusemwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017