Kupeana pole makaburini


Swali: Ni ipi hukumu ya kupeana pole makaburini baada ya kuzika?

Jibu: Haijuzu ikiwa ni jambo linalofanyika kwa mfano katika ukumbi. Hata hivyo inafaa akampa pole yule aliyefikwa na msiba akikutana naye makaburini, msikitini, nyumbani au dukani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 22/09/2019