Kupeana mkono na mamamkwe baada ya kumtaliki msichana wake


Swali: Kuna mtu alimuoa mwanamke kisha akamtaliki. Je, inajuzu kwake kupeana mikono na mama mkwe wa mwanamke huyu?

Jibu: Ndio. Anakuwa Mahram wake japokuwa amekwishamtaliki msichana wake. Anakuwa Mahram wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2018