Kupeana mikono wakati wa kuachana

Swali: Je, imethibiti katika Sunnah kupeana mikono na kutoa Salaam wakati wa kuachana au wakati wa kutaka kuachana?

Jibu: Kuhusu wakati wa kuachana hili halikuthibiti. Anachotakiwa ni kutoa salamu tu. Lakini kusema kuwa ni lazima apeana mikono, sikumbuki kitu [juu ya suala hili].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014