Kupeana mikono na mama mkwe baada ya kumwacha msichana wake

Swali: Kuna mwanaume alimuoa mwanamke kisha akamwacha. Je, inafaa kwake kupeana mikono na mama yake baada ya kumwacha msichana wake?

Jibu: Ndio, anakuwa ni Mahram wake japokuwa kamwacha msichana wake. Anakuwa ni Mahram wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 16/09/2018