Kupata masikini watano tu katika kafara ya yamini

Swali: Nikiwa na kafara ya yamini na nimepata tu masikini watano. Je, niwalishe siku mbali mbali?

Jibu: Hapana. Ukiwalisha hao utabakiwa na watano wengine. Watabaki katika dhimma yako mpaka wakati utapowapata.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (69) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13888
  • Imechapishwa: 16/11/2014