Swali: Nilifanya Tayammum na nikaswali swalah ya faradhi. Kisha nikapata maji kabla ya kutoka nje wakati wa swalah…

Jibu: Maadamu uliposwali ulikuwa hukupata maji, swalah yako ni sahihi. Kwa kuwa umeijenga juu ya twahara iliyowekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 09/11/2016