Kupangusa uso baada ya du´aa hakuna msingi

Swali: Ni ipi hukumu ya kupangusa uso baada ya kumaliza kuomba du´aa?

Jibu: Ni jambo halina msingi. Halikuthibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017