Kupangusa kwenye soksi fupi zisizofunika mafundo ya miguu

Swali: Kuna mtu amepangusa kwenye soksi zake zilizo chini ya mafundo mawili ya miguu na haziyafuniki. Ameswali Dhuhr kwa soksi hizo. Ni ipi hukumu ya swalah hii?

Jibu: Hukumu ni kwamba swalah sio sahihi. Ni lazima kwake airudi. Kwa kuwa haifai kupangusa kwenye kilicho chini ya mafundo ya miguu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-1-30.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020