Swali: Nipanguse plasta ndogo nilioweka juu ya kidonda?

Jibu: Ndio. Plasta ni kama bendeji. Kinachozingatiwa ni kile kinachofunika kidonda. Ikiwa platsa inafunika kidonda, unatakiwa kupangusa juu yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 21/10/2016