Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuota ilihali amefunga afanye nini?

Jibu: Mwenye kuota na amefunga ni wajibu kwake kuoga. Swawm yake ni sahihi. Jambo hili hakulifanya kwa kutaka kwake mwenyewe.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (08) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191309#219638
  • Imechapishwa: 19/01/2019