Kuosha tupu kwa maji ya zamzam yaliyosomewa

Swali: Inafaa kunyunyizia maji ya zamzam yaliyosomewa kwenye tupu ya nyuma ya mtoto kwa sababu ya ugonjwa alionao?

Jibu: Mtu ayasomee maji ya zamzam au maji mengine na ayafutie pale pahali anapohisi maumivu. Sehemu yoyote mwilini. Lakini tupu ya mbele na ya nyuma zinatakiwa kusafishwa kwanza kutokamana na athari ya mkojo au kinyesi kisha ndio afute kwa maji haya.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (69) http://binothaimeen.net/content/1557
  • Imechapishwa: 27/02/2020