Kuosha mikoni ni lazima na vitanga vya mikono imependekezwa

Swali: Baadhi ya watu hawaoshi vitanga vyao vya mikono pamoja na mikono bali wanatosheka kuviosha [hivyo vitanga vya mikono] pale mara ya kwanza [wanapoosha mikono] na hawavioshi pamoja na mikono.

Jibu: Hapana. Kuviosha mara tatu kabla ya kuanza kutawadha imependekezwa. Lakini baada ya kuosha uso anawajibika kuosha mikono yake miwili kuanza mwanzoni mwa vidole mpaka kwenye kisugudi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 14/10/2018