Swali: Kuosha miguu ni bora kuliko kufuta juu ya soksi za ngozi?

Jibu: Lililo bora ni kupangusa juu ya soksi za ngozi kwa kuwa ni kutendea kazi ruhusa. Usivue soksi za ngozi kwa ajili ya kuosha miguu kwa kufikiria kuwa ndio bora. Hapana, huku ni kwenda kinyume na Sunnah. Lililo bora ni wewe kutendea kazi Sunnah. Aidha ni kufanya kitendo kilicho sahali. Usijifanyia uzito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Marejeo: Firqatunnajia.com
  • Imechapishwa: 15/10/2016