Kuonyesha uadui katika nchi za makafiri

Swali: Mtu anazingatiwa kuwa anadhihirisha dini katika nchi ya makafiri akajitenga mbali na dini ya makafiri na kuwaonyesha waziwazi uadui?

Jibu: Ni vipi utadhihirisha uadui kwao ilihali umefunga mkataba wa amani pamoja nao? Usiwaonyeshe wazi uadui; waonyeshe amani kutokana na mkataba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 16/03/2019