Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuzungumza na rafiki yake ikiwa pembezoni mwao kuna ambaye anasoma Qur-aan kwa sauti ya kusikika?
Jibu: Ikiwa wanashawishana… Msomaji asipaze sauti yake na kumshawishi aliye pembezoni mwake na kadhalika wenye kuzungumza wasipaze sauti zao na kuwashawishi wenye kuswali, wenye kusoma Qur-aan na wenye kufanya Dhikr walio pembezoni mwao.
- Mfasiri: Firqatunnajia.com

Mfasiri: Firqatunnajia.com
https://firqatunnajia.com/kuongea-sehemu-ambayo-watu-wanasoma-qur-aan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)