Kuondoa uchawi kwa uchawi – matendo ya shaytwaan

Swali: Je, inafaa kuondoa uchawi kwa kutumia uchawi mwingine?

Jibu. Hapana, haijuzu. Uchawi unatibiwa kwa Qur-aan, madawa ya halali na du´aa. Ama kwa kutumia uchawi haifai. Alipoulizwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu anNushrah akajibu:

“ Ni katika matendo ya shaytwaan.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22741/ما-حكم-معالجة-السحر-بسحر-مثله
  • Imechapishwa: 12/08/2023
Takwimu
  • 27
  • 413
  • 1,821,446