Kuomba kwa haki ya adhaana


Swali: Kuomba du´aa kwa haki ya adhaana ni sahihi nikasema:

“Ee Allaah! Kwa haki ya adhaana niitikie”?

Jibu: Una dalili juu ya hili? Midhali hakuna dalili ya hili achana nalo. Kuomba kwa haki ya adhaana ni jambo ambalo halikuwekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
  • Imechapishwa: 06/09/2020