Kuomba du´aa ya Qunuut katika swalah ya ´iyd

Swali: Je, inajuzu kwetu kusoma Qunuut kwa ajili ya ndugu zetu katika Swalah ya ´iyd kutokana na mtetemeko wa ardhi uliowapata?

Jibu: Hili halikuthibiti…

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014