Swali: Je, inajuzu kwetu kusoma Qunuut kwa ajili ya ndugu zetu katika Swalah ya ´iyd kutokana na mtetemeko wa ardhi uliowapata?
Jibu: Hili halikuthibiti…
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-5-29.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014