Kuomba du´aa dhidi ya makafiri kwa ujumla


Swali: Je, inajuzu kuomba du´aa mayahudi na manaswara waangamie kwa njia ya ujumla?

Jibu: Hili halikuthibiti ya kwamba waombewe dhidi yao kwa ujumla. Haina neno ikifanywa hivo kwa wale wanaowafanyia madhara na kuwaua Waislamu. Sio mayahudi wote. Ikiwa kuomba dhidi yao kuna sababu kwa kuwa wamewaudhi waislamu au wamewafanyia uadui, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13844
  • Imechapishwa: 16/11/2014