Kuoga siku ya ijumaa ni wajibu kwa wanaume pasina wanawake

Swali: Je, josho la siku ya ijumaa ni jambo maalum kwa wanaume pasina wanawake au ni kwa wote wawili?

Jibu: Ni maalum kwa wanaume. Kwa kuwa wao ndio inawawajibikia na kuhudhuria ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13195
  • Imechapishwa: 14/09/2020