Kuoga au kutawadha zamzam kwa lengo la Tabarruk


Swali: Tunaona watu wengi wanajipangusa miili yao kwa maji ya zamzam na wanatawadha kwayo kwa ajili ya kutafuta baraka. Je, hili linajuzu?

Jibu: Hakuna neno kuyanywa au kuyaoga.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 23/03/2018