Kuoa mwanamke mlemavu


Swali: Kuna mwanaume ambaye kaoa mwanamke mwenye kupooza (paralyzed). Je, mwanaume huyu ana fadhila za zaidi?

JIbu: Ikiwa alikuwa ni mwenye nia juu ya hili, anataka kumsitiri, kumtendea wema kwa hili na kusimama kwa kumuhudumia, Allaah Hatomnyima ujira wake.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oatA1B5IjPw
  • Imechapishwa: 21/03/2018