Kuoa mwanamke asiyekuwa na elimu ya dini


Swali: Shaykh wetu, nitaoa mwanamke ambaye si msomi. Ni ipi nasaha yako?

Jibu: Ikiwa ni mtu wa Dini haidhuru, sawa akiwa ni msomi au asiyekuwa msomi. “… shikilia (chagua) mwenye sifa za Dini utasalimika.”

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=fhpy1kuUKVo
  • Imechapishwa: 21/03/2018