Swali: Je, kunyoa nywele na kukata kucha mchana wa Ramadhaan kunaharibu swawm?

Jibu: Kunyoa nywele, kukata kucha, kunyofoa nywele za kwapani na kunyoa nywele za sehemu za siri yote hayo hayamfunguzi mfungaji.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/256)
  • Imechapishwa: 10/06/2017