Kunyoa ndevu kwa sababu ya kuepuka madhara

Swali: Inajuzu kunyoa ndevu ikiwa mtu anachelea madhara juu ya nafsi yake mwenyewe au mali yake au kupatwa na madhara?

Jibu: Kunyoa ndevu ni madhara. Asinyoe ndevu zake. Avumilie juu ya madhara ikiwa kweli atafikwa na madhara. Awe na subira.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 17/09/2017