Kunyoa kichwa mbali na Hajj na ´Umrah


Swali: Kunyoa nywele za kichwani mbali na Hajj na ´Umrah kunazingatiwa kuwa kumekatazwa na ni kujifananisha na Khawaarij?

Jibu: Hapana, hata siku moja. Kunyoa kichwa hakuna ubaya wowote mbali na Hajj na ´Umrah. Anaweza kunyoa kichwa chake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nyoa zote au ziache zote.”

Hakuna neno kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 25/10/2017