Swali: Je, tumfuate Imamu akinyanyua mikono mwisho wa kila Swalah au mahala ambapo hapakuthibiti dalili ya kunyanyua?
Jibu: Hapana. Baada ya (Swalah za) faradhi hakukuthibiti kwamba kunanyanyuliwa mikono. Ama baada ya Naafilah hakuna neno.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-27.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014