Kunyanyua mkono wakati wa kumsalimia Mtume kwenye kaburi lake

Swali: Ni ipi hukumu ya kunyanyua mkono wakati wa kumtolea Salaam Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwenye kaburi lake?

Jibu: Usinyanyue mkono. Hichi ni kitendo cha wajinga.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2141
  • Imechapishwa: 12/07/2020