Kunyanyua mkono kuelekeza jiwe jeusi

Swali: Wakati wa kuanza Twawaaf kunanyanyuliwa mikono miwili au unanyanyuliwa mkono mmoja peke yake?

Jibu: Wakati wa kuashiria jiwe jeusi mtu atanyanyua mkono wa kulia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (24) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-20-02-1435.mp3
  • Imechapishwa: 28/07/2020