Kunyanyua mikono wakati wa kila Takbiyr

Swali: Je, kuna dalili ya kunyanyua mikono pamoja na kila Takbiyr katika swalah ya jeneza?

Jibu: Ndio, haya ni matendo ya Maswahabah na ni miongoni mwa matendo ya as-Salaf as-Swaalih. Ni miongoni mwa adabu za Takbiyr. Kumethibiti kunyanyua mikono katika swalah ya faradhi na swalah ya sunnah ambapo swalah hii ni mfano wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/08/2019