Kunyanyua mikono baada ya swalah ya ´iyd mbili

Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kunyanyua mikono baada ya swalah ya ´iyd mbili, swalah ya kupatwa kwa jua au swalah ya kuomba mvua?

Jibu: Kunyanyua mikono katika du´aa ya kuomba kunyesha mvua, ndio. Ama kuhusu du´aa katika Khutbah ya ijumaa na swalah ya ´iyd mbili, mtu asinyanyue mikono. Hili halikuthibiti. Hili linakuwa wakati wa du´aa ya kuomba mvua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montqa14340202.mp3
  • Imechapishwa: 19/09/2020