Swali: Baada ya muadhini kumaliza kutoa adhaana tunaona baadhi ya watu wanavyosoma du´aa zilizothibiti kisha wananyanyua mikono yao na kuomba du´aa ndefu…

Jibu: Hapana, hapana. Mtu asiombe du´aa kwa kunyanyua mikono. Ni sawa akaomba du´aa, lakini pasi na kunyanyua mikono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 10/01/2017