Swali: Nilinunua ardhi kutoka kwa mama yangu. Je, kitendo hichi kinazingatiwa ni kumfadhilisha mmoja katika watoto zake juu ya wengine?

Jibu: Hapana, hakuzingatiwi hivo kama umenununua kwa pesa yako mwenyewe. Hakukuzawadia. Angekuzawadia angekuwa amekufadhilisha. Midhali amekuuzia hakukufadhilisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 20/10/2018