Kununua nyumba pasi na ardhi


Swali: Lakini nchi nyingi ardhi inamilikiwa na nchi na mtu anakuwa ni mwenye kununua nyumba ilioko juu yake. Je, biashara mfano wa hii inafaa, bi maana kukauzwa nyumba pasi na ardhi?

Jibu: Ndio. Jengo na yote yanayojumuisha katika nyenzo vinakuwa ni vya yule mteja. Hata hivyo anakuwa hakununua ardhi. Ununuzi unakuwa katika vile vifaa vya jengo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
  • Imechapishwa: 29/01/2022