Swali: Benki imenunua nyumba na kunikodeshea. Baada ya miaka kadhaa nyumba hiyo inakuwa milki yangu.

Jibu: Ni kukodi kwa muda mrefu. Haijuzu. Ima benki ikuuzie nyumba hiyo au wakukodishie. Haijuzu kukodisha na kuuza na wakati huo huo kwa kuwepo kwa masharti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 25/05/2018