Kuna makatazo ya kukaa baina ya kivuli na juwa?

Swali: Ni ipi hukumu ya kukaa kati ya kivuli na juwa? Je, imesihi kwamba ni mahali anakokaa jini?

Jibu: Sijui hilo. Hakukusihi katika haya chochote. Hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 22/07/2018