Kumzawadia mtu mwili baada ya kufa


Swali: Je, inajuzu kwa muislamu kupeana kiwiliwili chake baada ya kufa?

Jibu: Sio chake. Kiwiliwili chake sio chake. Allaah hakumpa ruhusa ya kufanya hivo. Ni milki ya Allaah (Jalla wa ´Alaa) na sio yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/07/2018