Kumwita mtu usiyejua jina lake “Muhammad”  

Swali: Je, inajuzu kumwita mtu “Muhammad” ikiwa mtu hajui jina lake? Hili linafanywa hivi leo na wafanyakazi kwenye mgahawa na limeeena kila mahali.

Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Lakini bora zaidi ni kusema “´Abdullaah” kwa vile watu wote ni waja wa Allaah. Ikiwa hujui lina lake mwite “´Abdullaah” na kumwambia afanye unalotaka kumwambia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020