Swali: Inajuzu kumwita Shaykh kwa kuachia jina ´maulama`?

Jibu: Haifai. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mmoja wenu asiseme ´Ee maulana wangu fulani`. Allaah ndiye maulana Wenu.” (Muslim (2249)).

Vinginevyo mtumwa ni mwenye kumilikiwa. Lakini hata hivyo kwa mtumwa ambaye anamilikiwia ni sawa akasema “bwana wangu” na “maulana wangu.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 26-27
  • Imechapishwa: 02/11/2016