Kumwita mtoto jina la Abraar, Malaak, Iymaan na Jibriyl


Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa majina yafuatayo; Abraar, Malaak, Iymaan, Jibriyl na Janaa?

Jibu: Asijiite kwa jina la Abraar, Malaak, Iymaan na Jibriyl. Kuhusu Janaa sijui maana yake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Manaahiy al-Lafdhwiyyah, uk. 03
  • Imechapishwa: 01/07/2022