Kumwita baba kwa kun-ya yake


Swali: Inajuzu kwa mtu kumwita baba yake kwa kun-ya yake ikiwa baba yake halichukii hilo?

Jibu: Ikiwa kumwita kwa kun-ya hiyo kuna kumkirimu ni sawa. Ama ikiwa katika kun-ya hiyo hakuna kumkirimu basi asimwite baba yake kwa kun-ya hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 25/10/2017