Swali: Ni ipi hukumu mume akimjamii mke wake na yeye ana nifasi pasina kukusudia kwa kudhania kwamba amekwishatwaharika? Na ni ipi hukumu ikiwa atamjamii kwa kukusudia pia?

Jibu: Hukumu ni kwamba amuombe Allaah msamaha na atubu Kwake. Juu yake ana tawbah na Istighfaar.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.njza.net/Default_ar.aspx?ID=98
  • Imechapishwa: 24/09/2020